Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
- Thread starter
- #21
Jana yanga kacheza friendly match na DTB kampiga 3 bila unataka kila kitu tutanganzeKajipanga kwenye nini? Maana kama ni maandalizi ya kikosi/timu Yanga kaachwa mbali sana maana mpaka wachezaji wapate fitness na muunganiko, tayari Simba watakuwa wako mbali maana mpaka sasa wametumia muda mwingi kutengeneza timu kwa mazoezi na mechi za majaribio. Sasa sijui huko kujipanga kwa Yanga kupo kwenye nyanja ipi hasa?