Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
kbsaa ...Jezi kali yani hadi rahaaThis is time for Yanga. God bless Young Africans SC
mkuu unabisha ??Ukikaa wewe na serikali ya kichwa chako mkakubalina hvo sisi ni nani Hadi tubishe.
Mmejipangaje hamjaanza kushinda? Tusubri ligi ianze alie jipanga atajitenga na wenzake.mkuu unabisha ??
Kwa kumsajili Haji Manara au wale wacheza ndombolo ndo umeona wamejipanga, ngoja nikukumbushe, Simba ilipomsajili B.M, nyie mkamsajili Senzo, mkasema amekuja na Siri ya ushindi, lkn.... Huku Simba wakambeba B.M akaisaidia kuchukua makombe Mawili, Senzo akashinda kombe la mapinduzi, SASA basi Manara alifukuzwa Simba, ina maana tayari hakuwa na impact yoyote tofauti na kupiga domo, ndo useme mmejipanga? Wenzao SAA hizi Wana Kula tizi wao Wana promote jezi, Kwa hiyo jezi ndo litacheza?wadau habari?
naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.
sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.
Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!
kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
Mwaka jana baada ya kumchukua Senzo mlikuja na ngonjera hizi huku mkishinda Airport na Machera kuwabeba akina Kalinyo.kbsaa ...Jezi kali yani hadi rahaa
This is Yanga
mara paaa morison karudi
[emoji23][emoji23][emoji23]
sikutanii , nina source ya habari kutoka ndani ya simba ,unaambiwa wachezaji wamepoaa sanaa ,chama hayupo micqquison hayupo wamekuwa wanyonge sanaaaMmejipangaje hamjaanza kushinda? Tusubri ligi ianze alie jipanga atajitenga na wenzake.
yani media zote zimehama na upepo wa manaraHata mimi nikashangaa!,hata wachambuzi wa soka wanaozusha propaganda za uongo kwa Simba wanazungumza hili jambo unalosema mleta mada.
nyinyi mna nani ?Kwa kumsajili Haji Manara au wale wacheza ndombolo ndo umeona wamejipanga, ngoja nikukumbushe, Simba ilipomsajili B.M, nyie mkamsajili Senzo, mkasema amekuja na Siri ya ushindi, lkn.... Huku Simba wakambeba B.M akaisaidia kuchukua makombe Mawili, Senzo akashinda kombe la mapinduzi, SASA basi Manara alifukuzwa Simba, ina maana tayari hakuwa na impact yoyote tofauti na kupiga domo, ndo useme mmejipanga? Wenzao SAA hizi Wana Kula tizi wao Wana promote jezi, Kwa hiyo jezi ndo litacheza?
mkuu Yanga kwa upepo huu anachukua ubingwa , save uzi huuYanga wamejipanga kuwahuisha mashabiki wao ila si kuwapa furaha ya ubingwa.
Kajipanga kwenye nini? Maana kama ni maandalizi ya kikosi/timu Yanga kaachwa mbali sana maana mpaka wachezaji wapate fitness na muunganiko, tayari Simba watakuwa wako mbali maana mpaka sasa wametumia muda mwingi kutengeneza timu kwa mazoezi na mechi za majaribio. Sasa sijui huko kujipanga kwa Yanga kupo kwenye nyanja ipi hasa?wadau habari?
naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.
sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.
Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!
kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
Sio wachezaji tu hata mashabiki tumepoa unajua kwanini? Tumegundua sisi ni team bora acha vitendo viongee.sikutanii , nina source ya habari kutoka ndani ya simba ,unaambiwa wachezaji wamepoaa sanaa ,chama hayupo micqquison hayupo wamekuwa wanyonge sanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah eti tunarekodi ngwasumaMwaka jana baada ya kumchukua Senzo mlikuja na ngonjera hizi huku mkishinda Airport na Machera kuwabeba akina Kalinyo.
Mwaka huuu mmmembeba Manara hamtaki kufanya Preason prep, mnashinda Studio kurekodi Jingoz za Papaaa Ngwasuma ujio wa Koffiii halafu Mnabwabwaja ooooh Mwaka huu Utopolo blaaaa blaaaaa kuliko Thimba!
Amkeni kumekucha, Senzo na Manara na hao wapaka PICCO wenu Ndombolo ya Sollo si kitu wala Lolote kwa Kanoute na SAKHO et al time will tell. Wacongo watamezwa na starehe za Kibongo fastaaaa hasa yule beki wenu Bangala ni Mlevi zaidi ya MALIMI BUSUNGU[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]