playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Kwa kumsajili MANARA au KUKAA KAMBI siku 6 na kurudi Bila mechi ya kujipima?...WA MWISHO KUFIKA NA WA KWANZA KURUDI[emoji23][emoji23]....of course kila mwaka kabla ya Msimu kuanza jamaa huwa Wana heka heka hatari lakini mwisho wa msimu Vichwa chini.wadau habari?
naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.
sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.
Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!
kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
View attachment 1910833