Tuseme ukweli Nguruwe ni mbadala wa ng'ombe

Tuseme ukweli Nguruwe ni mbadala wa ng'ombe

Nchi yetu imebarikiwa kuwa na mifugo mingi husasani nguruwe ila kutokana na wingi ng'ombe uonekana mboga kubwa kwa maitaji ya kila siku na wanyama wengine.

Kuna nchi ambazo ng'ombe ni wachache ukilinganisha mbuzi, kuku, samaki na nguruwe. Tuje nchini China, Korea, Taiwan, Cambodia, Vietnam, Japan na n.k hawa jamaa wanakula nguruwe sana yani kila kona ya migahawa ni nguruwe.

Huko mbeleni siku idadi ya ng'ombe ikipungua na ufinyu wa ufugaji basi nguruwe anaweza kuwa mbadala wa mboga kubwa.

Karibu biriani la kitimoto hapa
Na broiler anakuwa kafa au?!
 
My point was kuonesha umuhimu wa nguruwe kwa maisha ya binadamu kulinganisha na jamii nyingine za wanyama. By the way, nguruwe anastawi mazingira almost yote that's why ameenea duniani kote.
Nguruwe ni level nyingine, hapa bongo inaendelea kuwa nyama inayojizolea umaarufu kila kukicha
 
Back
Top Bottom