God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Kwa waliobahatika kuangalia mechi za hawa wababe basi lazima wakubaliane na mimi.
Tyson kapigwa mno mchezo wa kwanza hadi akalegema kabisa na refarii kuhamua kumaliza mchezo.
Mechi ya pili jamaa aliona hali sio nzuri raundi ya 3 tuu akamng'ata sikio evanda na mchezo ukaishia hapo.
Evander kampasua sana tyson.
Mike Tyson kushoto na kulia ni Evander Holyfield.