Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni matusi kumcompare the baddest Ty na bishoo floyd..we kinachokuzuzua ni maferari,chains,private jets na mikoba ya kike anayobeba...prince alikuwa anasumbua 90's..halafu linganisha uzito wa juu kwa uzito wa juu,uzito wa kati na wa jyu wapi na wapi!!!hata sheria za masumbwi haziruhusu wapande ulingoniMmmh aya
mkuu humu kuna watoto hadi wa miaka 16 sijui nani anawapa simu kuja kujibishana na wakubwaWanakera sana watoto hawa..
Kuna kipindi vijana hawahawa bila aibu walimlinganisha Lamar na P Funk...
Yaani eti na sasa Maua Sama alinganishwe na Jay Dee.
Matusi kuntu hayaa.
Kaka nikweli Doglas buster ndie bondia pekee aliyeweza kusimama na Tyson PUNCH kwa PUNCH mbaka Tyson alipokaa raundi ya 10.Awa wengine mudamwingi waliutumia kukumbatia kwingi na kuvizia vizia. Kwa ujumla walikua wanapaki basi, na umri wa Tyson ulikua umesha enda.Bondia anaeweza jivunia mpiga Tyson ni mmoja tu... Douglas,,, alimtwanga Tyson mwaka 1990 huko China.... Japan if im not mistaken.
And after that fight Tyson ali admit his career ended that night... Ila na huyo Douglass moto aliuona.
kula [emoji109] [emoji109] havina adabu hata kidogo na havichelewi kutongozamkuu humu kuna watoto hadi wa miaka 16 sijui nani anawapa simu kuja kujibishana na wakubwa
[emoji57] [emoji57] [emoji57][emoji3] [emoji3]
Si wapo kina steve nyerere!!?
kabisa yaaniEeee kama Kanumba alivyoondoka na bongo movie zake
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]My weather ni noma sana kuanzia akili mpaka ulingoni
umeona eeehh!MLIOZALIWA MIAKA 2000 MNAMWAGA PUMBA TUPU HUYO MY WEATHER ALICHEMKA KWA MAIDANA NA PACCIAO
Wtf are you talking man?Floyd wengi mmemjulia kwa pambano moja ila kwa sisi ambao tumemjua tokea miaka ya 90 tunaujua mziki wake,
Hamna Boxer atakayeweza kumsimamisha,Maidana kidogo alijaribu jaribu,
Na mtu kama Pacquiao akipanda na huyu dogo maidana anakaaa bila wasiwasi
Lewis alikua bondia mzuri sana. A real fighterPambano la Lewis vs Evander I... Lewis alishinda very cleary akapokwa ushindi na judges...
Lewis vs Evender II .... Lewis akapewa ushindi kwa kuona aibu kwa kumpora ushindi pambano la kwanza.
Huwa anapiga palepale panapouma huku akidonoa na akikupa manjonjo kwa ngumi za mtaani uzalendo ukikushinda hukawii kuokota maweFloyd ana ngumi fulani hivi za kushtukiza, alaf ana lenga pale pale mpaka raha
Taja hao wababe unaowasemea? Afu ujiulize mayweather alikuwa anapigana ngumi za uzito gani na Tyson alikuwa anapigana ngumi za uzito ganiWtf are you talking man?
Unamfananisha Tyson na mayweather kweli?are you serious
Wangekuwepo wale wababe wa enzi hizo huyo dogo angekua mtaani anauza karanga.
Timothy sawa.maidana sawa(tena huyu kwa upande wangu naamini alimdunda floyd)Kweli kabisa ki Tyson akina lolote hivi hawa wangeangalia mabondia kama Timothy Bladley, Maidana, au Amir Khan watasemaje