Tuseme ukweli tu, Mike Tyson hatembei kwa Evander!

Tuseme ukweli tu, Mike Tyson hatembei kwa Evander!

ni matusi kumcompare the baddest Ty na bishoo floyd..we kinachokuzuzua ni maferari,chains,private jets na mikoba ya kike anayobeba...prince alikuwa anasumbua 90's..halafu linganisha uzito wa juu kwa uzito wa juu,uzito wa kati na wa jyu wapi na wapi!!!hata sheria za masumbwi haziruhusu wapande ulingoni
 
Evander urefu ulimfanya atambe sana kwa mike tyson ila ukweli baada ya muhamad ally (rip),kwa ubora anafatia mike tyson...
 
Bondia anaeweza jivunia mpiga Tyson ni mmoja tu... Douglas,,, alimtwanga Tyson mwaka 1990 huko China.... Japan if im not mistaken.

And after that fight Tyson ali admit his career ended that night... Ila na huyo Douglass moto aliuona.
Kaka nikweli Doglas buster ndie bondia pekee aliyeweza kusimama na Tyson PUNCH kwa PUNCH mbaka Tyson alipokaa raundi ya 10.Awa wengine mudamwingi waliutumia kukumbatia kwingi na kuvizia vizia. Kwa ujumla walikua wanapaki basi, na umri wa Tyson ulikua umesha enda.
 
Hivi Tyson alimwambia nani that famous statement " i'll F*ck you til you love me"
 
Floyd wengi mmemjulia kwa pambano moja ila kwa sisi ambao tumemjua tokea miaka ya 90 tunaujua mziki wake,

Hamna Boxer atakayeweza kumsimamisha,Maidana kidogo alijaribu jaribu,



Na mtu kama Pacquiao akipanda na huyu dogo maidana anakaaa bila wasiwasi
Wtf are you talking man?
Unamfananisha Tyson na mayweather kweli?are you serious
Wangekuwepo wale wababe wa enzi hizo huyo dogo angekua mtaani anauza karanga.
 
Pambano la Lewis vs Evander I... Lewis alishinda very cleary akapokwa ushindi na judges...

Lewis vs Evender II .... Lewis akapewa ushindi kwa kuona aibu kwa kumpora ushindi pambano la kwanza.
Lewis alikua bondia mzuri sana. A real fighter
 
Wtf are you talking man?
Unamfananisha Tyson na mayweather kweli?are you serious
Wangekuwepo wale wababe wa enzi hizo huyo dogo angekua mtaani anauza karanga.
Taja hao wababe unaowasemea? Afu ujiulize mayweather alikuwa anapigana ngumi za uzito gani na Tyson alikuwa anapigana ngumi za uzito gani
 
Kweli kabisa ki Tyson akina lolote hivi hawa wangeangalia mabondia kama Timothy Bladley, Maidana, au Amir Khan watasemaje
Timothy sawa.maidana sawa(tena huyu kwa upande wangu naamini alimdunda floyd)

Ila mkuu kwa Amir khani nakupa HAPANA ya herufi kubwa.
 
Back
Top Bottom