God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Enzi zao hao zishaisha sasa hivi zipo enzi za akina Tyson Furry, Vladmil Klishcko, Marcus Maidana (china) na wengineoKwa waliobahatika kuangalia mechi za hawa wababe basi lazima wakubaliane na mimi.
Tyson kapigwa mno mchezo wa kwanza hadi akalegema kabisa na refarii kuhamua kumaliza mchezo.
Mechi ya pili jamaa aliona hali sio nzuri raundi ya 3 tuu akamkata evanda na mchezo ukaishia hapo.
Evander kampasua sana tyson.View attachment 396559 View attachment 396560
Mike Tyson kushoto na kulia ni Evander Holyfield.
Eeee kama Kanumba alivyoondoka na bongo movie zakeTyson alikuwa bonge ya bondia, kwanza toka aondoke, katuachua kina Mayweather mtu ana paki basi kwenye ngumi.
Tysoni aliondoka na ngumi zake bhana
[emoji3] [emoji3]Eeee kama Kanumba alivyoondoka na bongo movie zake
floyd yupo vizuri sana , Tyson hagusi kabisa hapa hata kama yeye ni heavy weight,My weather ni noma sana kuanzia akili mpaka ulingoni
Aaaah Radhaa tofauti bwana.[emoji3] [emoji3]
Si wapo kina steve nyerere!!?
Wamebaki wajasilia mwili tuEeee kama Kanumba alivyoondoka na bongo movie zake
ha hahahahaPromo tu hao wote Kwa mtambo Wa gongo wanakaa
Labda macho yangu yananidanganya lakini kwa utashi wangu haupo sahihifloyd yupo vizuri sana , Tyson hagusi kabisa hapa hata kama yeye ni heavy weight,
Floyd yupo vizuri kwanza ana shabaha alaf anajua sana kukwepa, ila ukitaka kumfaidi zaidi floyd angalia mapambano yake ya miaka ya 90
floyd yupo vizuri sana , Tyson hagusi kabisa hapa hata kama yeye ni heavy weight,
Floyd yupo vizuri kwanza ana shabaha alaf anajua sana kukwepa, ila ukitaka kumfaidi zaidi floyd angalia mapambano yake ya miaka ya 90
Floyd wengi mmemjulia kwa pambano moja ila kwa sisi ambao tumemjua tokea miaka ya 90 tunaujua mziki wake,Labda macho yangu yananidanganya lakini kwa utashi wangu haupo sahihi