Tuseme ukweli: Wimbo wa Bakanja wa Fally Ipupa ni timeless, vibe lake halitakuja kuchuja

Tuseme ukweli: Wimbo wa Bakanja wa Fally Ipupa ni timeless, vibe lake halitakuja kuchuja

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Sina mengi..

Hii ngoma nadhan jamaa alizindika sana kabla ya kutunga na kuitoa, ngoma haipotezi radha, sio kama miziki baadhi ukishasikiliza miaka miwili mitatu ile excitement inatoka, lakini nikisikia hata hapa Bakanja inapigwa lazima ni-feel amani kabisa na kutingisha kichwa polepole.

Long live Fally Ipupa
 
Bro vip kuhusu original?? Huyu mwamba ni nouma ukisikiliza associe,nidja,eloko oyo,juste une danse,aime moi,Aflye,maria pm,the crown,ecole,service n nyingine nyingi. Ndo utajia huyu mwamb ni nani
 
Fally ni kati ya wasanii ambao nawachangia kiasi kikubwa cha pesa kwenye streaming platforms(spotify na apple music). Huyu mwamba anajua sana.
Jamaa anastahili, ni kati ya wasanii wangu bora wa muda wote hapa Africa
 
Bro vip kuhusu original?? Huyu mwamba ni nouma ukisikiliza associe,nidja,eloko oyo,juste une danse,aime moi,Aflye,maria pm,the crown,ecole,service n nyingine nyingi. Ndo utajia huyu mwamb ni nani
Ngoma zake hazichoshi na hazichuji

Uwe na drinks ndo unaweza sahau kabisa shida za dunia muda huo

Hata hii aloimba na diamond naikubali pia
 
Kamsikilize hizi

Mayday
Se-yo
Eternite

Utarudi kunis
Sifikiri kama itakuwa rahisi hata kwake mwenyewe Ipupa kuja na wimbo mwingine kuzidi Mayday.

Kwangu huo wimbo uko beyond ya uhalisia wake wote, ni record ambayo hata mwenyewe hawezi ifikia.

Ni kama kuna wawili, kuna mkali Fally wa rhumba kalikali, lakini pia kuna Fally wa balaa LA Mayday.
Nina zaidi ya miezi mi3 sasa, nausikiliza kila siku.
 
Back
Top Bottom