Tuseme ukweli: Wimbo wa Bakanja wa Fally Ipupa ni timeless, vibe lake halitakuja kuchuja

Tuseme ukweli: Wimbo wa Bakanja wa Fally Ipupa ni timeless, vibe lake halitakuja kuchuja

Bro vip kuhusu original?? Huyu mwamba ni nouma ukisikiliza associe,nidja,eloko oyo,juste une danse,aime moi,Aflye,maria pm,the crown,ecole,service n nyingine nyingi. Ndo utajia huyu mwamb ni nani
Unasahauje halo telephone 😳😳😳😋😋
 
Bro vip kuhusu original?? Huyu mwamba ni nouma ukisikiliza associe,nidja,eloko oyo,juste une danse,aime moi,Aflye,maria pm,the crown,ecole,service n nyingine nyingi. Ndo utajia huyu mwamb ni nani
Weka mayday hapo
Eloko oyo pale mwanzo anasema Ututombeee
 
Bro vip kuhusu original?? Huyu mwamba ni nouma ukisikiliza associe,nidja,eloko oyo,juste une danse,aime moi,Aflye,maria pm,the crown,ecole,service n nyingine nyingi. Ndo utajia huyu mwamb ni nani
Na kuna kitu inaitwa Sweetheart ni noma
 
Sifikiri kama itakuwa rahisi hata kwake mwenyewe Ipupa kuja na wimbo mwingine kuzidi Mayday.

Kwangu huo wimbo uko beyond ya uhalisia wake wote, ni record ambayo hata mwenyewe hawezi ifikia.

Ni kama kuna wawili, kuna mkali Fally wa rhumba kalikali, lakini pia kuna Fally wa balaa LA Mayday.
Nina zaidi ya miezi mi3 sasa, nausikiliza kila siku.
Nakubali mkuu

Kwangu Mimi wimbo Bora WA Fally Ipupa WA muda wote ni HUMANISME. Huu wimba jamaa alifoka na kulia Sana dadeki!

Ile verse ya mwisho anasema;

Papy na ngai zonga motema pasi eh
Chéri na ngai zonga ndako mbango
Sinon té oko yoka chérie n'o aweyi
Nazo lia bien mais nzoto ezo sila kaka
Absence na yo ezo détruire vie na ngai
Aies pitié, chéri reviens-moi, mon amour
Reprends-moi, Cash Money
S'il te plait mon bébé, me tourne pas le dos
Réponds-moi, chérie Dana
Je t'en supplie mon bébé
Me tourne pas le dos

Verse ya mwisho Nadhani imevunja rekod katika vifaa vyangu vya muziki Kwa kusikilizwa Sana. Nadhani inaweza kuwa imefika milion times.

Mimi napenda live performance huwa namfuatilia fally kwenye account yake ya Tokoos Fan. Hii huweka kila footstep ya jamaa kuanza mazoezi Hadi shows. Ukiitembelea hii account ndio utaona wasanii wetu WA tanzania WAnapiga kelele Tu.
 
Ila hawa wakongo wana nini lakini?!!! Mi huwa naona nyimbo zao kama zina ladha fulani hivi amaaaazing! Yaani unajikuta nyimbo unaifeel balaa.
Wanajitahidi sana hawa jamaa

Hata kama maneno huelewi ila ile rythm tu na anavyopanga maneno inatosha kukuburudisha
 
Sina mengi..

Hii ngoma nadhan jamaa alizindika sana kabla ya kutunga na kuitoa, ngoma haipotezi radha, sio kama miziki baadhi ukishasikiliza miaka miwili mitatu ile excitement inatoka, lakini nikisikia hata hapa Bakanja inapigwa lazima ni-feel amani kabisa na kutingisha kichwa polepole.

Long live Fally Ipupa
Dally Ipupa anajua sana.
 
Pamoja na kwamba siujui huo wimbo kwa jina bali nikiusikia, Fally yuko vizuri. Pamoja na kuwa wakati fulani mwanamuziki wa Kofee, hajawahi kumuiga uimbaji wake
 
Back
Top Bottom