Tuseme ukweli: Wimbo wa Bakanja wa Fally Ipupa ni timeless, vibe lake halitakuja kuchuja

Nimeusikiliza. Sikuwahi kuusikia mpaka nimesoma hapa.. Fally ni shida sana [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kitu ambacho kinanishangaza Popoma kujua kote mziki wa kikongo mpaka leo bado hajampa maua yake Fally Ipupa Nsimba,
 
Humanisme, ni hatari nyingine. Kale kasehemu ka mwisho natamani ningekaelewa na kujua lugha nikaimbe, naishia kumung'unya mdomo tu.

Binafsi hizi kwangu ni next level

Humanisme
One Love
Se Yo
Attent
Cardenas
Orgasy
1000%Mawa
Lourdes
Anissa
Nyokalesye
Liputa
Coulures ....nk

Kabla ya Mayday sikufikiri kuna itakayozipiku hizo.... Ila kwa sasa MAYDAY ni hatari zaidi kwangu, then yoyote kati ya hizo inafuata. Anaitendea haki rhumba hakika.
 
Pamoja na beat kua kali lakini pia jamaa anajua kunata nalo.
Maana halisi ya kipaji.
 
Top zangu, jamaa anajua hadi basi
1. Se Yo
2. Mayday
3. Canne a sucre
4. Associe
 

May day ni wimbo naousikiliza nikiwa napiga kazi kwa ofisi…may day na flye kivumbiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…