Tusemezane ya Ukweli: Ni nani humu JF ukiwa unajadiliana naye anakupeleka puta mpaka, unatamani asi ku "Quote" kwa kujawa na hofu

Samahani mkuu ila kwa attitude na majibu yako sikuwahi kudhani ni mwanaume ila leo ndio nimejua

Bila samahani. Tuko pamoja.
By the way acha kuwa conservative na kuamini unajua kuliko wengine.

Sijawahi kusema kwamba najua kuliko wengine,hii ni tafsiri ya wale ambao huwa wako dhidi yangu.

Kaka,kwanini usiseme hao ambao wako dhidi yangu ndio wanao jifanya kujua kuliko mnavyo nituhumu mimi ?

Katika mijadala kuna lugha za kukata na kuonyesha ya kuwa kinyume chake hakuna,na hizi lugha ndio huwa nazitumia sana,ndio maana hata hao wanao nituhumu hivyo huwa ni baada ya wa wao kushindwa hoja. Sasa kwa mtu makini ataona ya kuwa tatizo halipo kwangu bali lipo kwao,sababu wao huamini ya kuwa kile wakijuacho ndio usahihi wenyewe. Wanapo kutana na changamoto mpya huwa hakuna zaidi ya kupewa majina mabaya.
Weka room ya kujifunza maana arguments zako huwa ni kama defence au kutaka kushinda mijadala badala ya kujua.

Hivi mathalani mtu anaposema ya kuwa Dunia inazunguka,kisha ukahoji akashindwa kujibu maswali husika,akaishia kukutuhumu kwa majina mabaya,hapo tatizo linakuwa kwa aliye hoji au kwa aliye hojiwa au nikasema ya kuwa "Jambo fulani hawezi kukithibitisha mpaka unaingia kaburni au mfank wake" na mtu huyo kweli akashindwa kufanya hvyo,unakuwa umeshindana au kujilinda ?

Pili,unapo mtaka mtu ajue kitu fulani basi umuonyeshe ya kuwa kwamba kitu hicho unakijua kweli sio kuleta ubabaishaji,na hili ndio ambalo huwa linafanyika sana humu.

Sisi mbona humu huwa tunaitwa vilaza,hatuna akili na majina mabaya lakini hatulalamiki ? Tunakubali ila sisi ambao ni vilaza maswali yetu huwa hayajibiwa.

Kwahiyo tujifunze kusema kweli na kuzungumza haki.
 
Umenisoma vibaya mkuu.
hili nimeliona binafsi na sio kwamba naongea kwa niaba ya watu.

Kuna siku tulikuwa tunajadili kitu flani na nilikuwa na mtazamo tofauti na wewe, cha kushangaza badala ya kuwa discussion ikawa unanishambulia ile personally then nikapuuza tu, baada ya hapo nilikuwa nikiona hata uzi wako au discussion upo, nilikuwa hata sijisumbui kusoma (sina tabia ya kumuweka mtu ignore list).
 
Umenisoma vibaya mkuu.
hili nimeliona binafsi na sio kwamba naongea kwa niaba ya watu.

Hapa ndio unatakiwa ya kuwa katika hili hauko peke yako,kwahiyo nilichokifanya mimi humu nimekujumuisha na wenzako. Hapa sasa ndio unatakiwa ujue hilo.

Unaweza kunikumbusha tulikuwa tunajadili nini,na wewe ukasema nini kisha nikakushambulia kwa kukuambiaje ? Msaada tafadhali.
 
Haina haja brother. Mimi nilikuelewa na kuheshimu space yako. Only dat
 
Haina haja brother. Mimi nilikuelewa na kuheshimu space yako. Only dat

Kwahiyo unaweza pia ukawa muongo katika hili.

Tuko pamoja mzee.
 
Kwahiyo unaweza pia ukawa muongo katika hili.

Tuko pamoja mzee.
As usual...
Searching for who is right or wrong instead of what's right or wrong

Lakini Sio mbaya pengine ni muongo kweli maana kuna kitu nitafaidika nacho kutokana na hili

Ubarikiwe
 
As usual...
Searching for who is right or wrong instead of what's right or wrong

Lakini Sio mbaya pengine ni muongo kweli maana kuna kitu nitafaidika nacho kutokana na hili

Ubarikiwe

Safi kabisa nililijua tangu mwanzo ndio nikakuuliza vile nilijua hutaweza kuweka ushahidi,huu unabakia kuwa ni udhaifu wajo mwenyewe.

Kuna wakati wewe unaweza uka unakosea na si kile unachokiongelea,yaani wewe muwasilishaji ukawa kinyume na unachokiwasilisja katika uhalisia wake,sasa hili ni tatizo lako. Sababbu nimeona una changanya kati ya jambo binafsi na kinyume chake,ndio maana hata wewe nikikupa mwezi mzima uonyeshs ya kuwa nimekusema wewe badala ya kile kinachonzungumziwa,kwamba naongelea ufahamu na si mambo yako binafsi ambayo yako nje ya mada,yaani siwezi nikaongelea udhaifu au siri zako katika mada isiyotaka hilo,ila nitakujeruhi kwa ufahamu wako na ujinga ulio nao katila jambo la kielimu na si kinyume na hili haliitwi jambo binafsi au la dhati yako sababu sijagusa mambo yako binafsi.

Kwa akiba ya maneno huwa tunaambiwa hivi "Ukitaka kuijua haki ni ipi basi waangalie wenye haki ni kina nani". Havitengani viwili.

Limeisha hili.
 
Nimekupa na like mkuu
 
Duuh !!
Sasa nimeanza kumuelewa Baba Swalehe alichosema juu yako.
Unatumia mtandao kuwatukana na kuwabishia wanasayansi waliosema dunia inalizunguka jua kwamba ni waongo au vichaa, wakati huo huo hao jamaa wametumia theory hiyo kurusha satellite na kuifanya izunguke dunia na kuwezesha mawasiliano ya internet unayotumia kuwatukana na kuwapinga.
Mkuu una tatizo gani kwani?

Kwani huko madrasa wanafundisha vitu gani vinasababisha baadhi ya wanafunzi wake(wachache) wawe na mawazo au misimamo kama yako?
 
Unatumia mtandao kuwatukana na kuwabishia wanasayansi waliosema dunia inalizunguka jua kwamba ni waongo au vichaa,
Huyo Albert Michelson hakuwa mwanasayansi ? Na nina uwezo wa kukuwekea zaidi ya wanasayansi ambak hawakubali juu ya dunia kuzunguka.

Pili,kwani Wanasayansi hawakosei ? Kurushwa kwa satellite na kuzunguka kwa dunia ni vitu viwili tofatuti. Hapa tunajadili Dunia.

Tatu,kama ni kweli basi maswali yetu tunayo wauliza mtujibu sio mnakimbia na kututuhumu pasi na ushahidi wa kielimu.

Nne,nani mtu wa kwanza kuleta nadharia ya kuwa Dunia inazunguka na alitumia nini na ilikuwa lini ? Na ikawaje akafikia hitimisho hilo ?

Tano,humo sikuwagusa wanasayansi tu bali mpaka nyinyi mashabiki wa Sayansi pia mnaingia katika hizo aina nne. Aidha wendawazimu,vichwa mchunga,Milango yenu ya fahamu haifanyi kazi au Hamuhoji.

Sita,nakuuliza tu wewe,ushawahi kuhoji juu ya nadhari hiyo ya kuhusu kuzunguka kwa Dunia ? Kama hujahoji kwanini unituhumu kwa hilo ?

Saba,naomba unipe uhusiano wa Satellite na Dunia,yaani je Satellite haziwezi kufanya kazi kipindi ambacho Duni imesimama ?
Mkuu una tatizo gani kwani?

Tatizo sina katika uhalisia ila kwa mtu kama wewe usietafakari mambo kwa undani utaona nina tatizo,na ili uone kama sina tatizo jibu maswali niliyo kuuliza.
Kwani huko madrasa wanafundisha vitu gani vinasababisha baadhi ya wanafunzi wake(wachache) wawe na mawazo au misimamo kama yako?

Madrasa hawafundishi nadharia,ukijikita latila hili tamko na kujua nini maana yake,lazma utamakinika juu ya Sayansi na wanasayansi. Madrasa wanafundisha ukweli na haki toka kwa yule aliyeumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.

Nakupa kazi kama wewe ni msema kweli,uje ututhibitishie hapa ya kuwa Dunia inazunguka kwa ule uhalisia bila kuweka zile "Assumptions" za kifizikia na mahesabu.

Nipo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…