Tusemezane ya Ukweli: Ni nani humu JF ukiwa unajadiliana naye anakupeleka puta mpaka, unatamani asi ku "Quote" kwa kujawa na hofu

Kurushwa kwa satellite na kuzunguka kwa dunia ni vitu viwili tofatuti.
Mkuu una ubishi flani kwa vitu ambayo hauvijui na yaonekana hautaki kuvijua au una vijua ila unataka kufanya mabishano kama ya vijiwe vya kahawa au mihadhara ya dini ya akina Simba Ulanga au Sheikh Mazinge.
Soma hapo chini maelezo toka tovuti ya NASA kuhusu wanavyo launch vehicle inayo beba satellite

ESCAPE VELOCITY
The type of path that will be taken up by an unpowered space vehicle starting at a given location will depend upon its velocity. It will take up an open-ended path if its velocity equals or exceeds escape velocity; escape velocity is, by definition, that velocity required at a given location to establish a parabolic orbit. Velocities greater than escape velocity result in hyperbolic orbits. Lower velocities result in closed elliptical orbits-the vehicle is tied to the neighborhood of the planet.

Since it essentially separates "local" from "long distance" flights, escape velocity is clearly a primary astronautical parameter. The exact value of this velocity is dependent upon two factors: (a) The mass of the parent planet and (b) the distance from the center of the planet to the space vehicle. Escape velocity increases as the square root of the planet's mass, and decreases as the square root of the distance from the planet's center.
TRAJECTORIES AND ORBITS

Unaona hapo kwenye maelezo yaliyokolezwa rangi kwa wino mwekundu?
Angalia kifungu (b) huo umbali toka ilipo vehicle hadi katikati ya tufe la dunia inaathiri mwendokasi unaitwa Escape Velocity ambao huu mwendo huathiri njia(orbit) ya vehicle na kufanya iwe au isiwe ktk umbo la hyperbolic.
Kama orbit ikiwa sio sahihi basi mpango wa kurusha chombo anga za juu ili upate mawasiliano utashindikana.

Huo umbali kati ya chombo na katikati ya tufe la dunia unabadilika kila wakati sababu dunia haipo sehemu moja inalizunguka jua, kwa kufanya hivyo dunia inahama toka nukata moja hadi nyingine.
sasa wanaofanya hesabu za nguvu ya kuisukuma vehicle wasipozingatia mabadiliko hayo ya umbali kila baada ya muda flani hawatapata mwendokasi (Escape Velocity) na umbali sahihi.

Sijui kama umenielewa ustadhi, natamani watu wenye kipaji cha kuelewesha waje wanisaidie uelewe.

Wakuu Kiranga , Baba Swalehe na wadau wengine mje mnisaidie au mnikosoe tujifunze wengi.
 
Ukiwa Mfuasi wa allah usipo UA na kung'oa makafir kucha IMANI yako imekufa na ni kafir tu [emoji106][emoji123] wala usijitumainishe kuwa ww ni muumini [emoji44]
Vivyo hivyo ukiwa Mfuasi YESU ukiwa muuaji na unang😱a makafir kucha we sio Mfuasi WA YESU ilaha ni kafir TU usijitumainishe [emoji106][emoji123]
Naona Ujumbe umefika ust zurri jipime uko wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji44]
 
Ndio maana huwa nasema hamlo makini. Tunazungumzia Mwendo wa mzunguko wa dunia na hizo satellite.

Pili,hata nikikwambia au kukuuliza ni uli uhalisia wa tungamo ya dunia na umbali kutokea katikati ya dunia. Kwanza kabla ya kuandika huu ujinga na huu uongo ambao huwa unaishia kwenye makarakatasi,ulitakiwa uhakiki habari kuhusu tungamo ya Dunia na umbali huo from the cetre of the Earth. Vipi walivipata viwili hivi. Kisja ndio uje kutuonyesha.

Hao wanaofanya hizo hesabu wanaweza kuzifanya bila hata kuzingatia hizo nadharia mzee.
 
Duuh!!!
Sawa mkuu.
Naomba niishie hapo huu mjadala sioni tukifikia muafaka au tukielewana hata tumalize kurasa 200.
 
Huyu jamaa kawakalisha wale wanaompinga Mungu...
Pia kawakalisha wale wote wa dunia inazunguka na wote wanamkwepa safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…