Ndio nnachokupendea shemej yangu unanielewa haraka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi mtu mzima nishakuelewa mpenzi
Mashemej tunapendana sana ila sjajua rate yako ni ngap?Ndo maana nakupenda pia shemeji huwa huzunguki
On a scale of 1 - 10, matumizi yako ya condom/kinga yakoje?
Shem darling uko vzur aisee rate yako kubwa mie namba yangu hukuiweka so msinihesabuMi 9 shemeji beb [emoji85]
Now am I talkin' foreign when I say I miss you?Bado yako