Tusemezane.

Khaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3] umepata picha uliniona wapi mpaka uwaze hivyo
Yani kwa hali ya hewa kama ile ya jana umelala na mwenzio na wote mna afya njema kama hamjafanya basi kuna tatizo kati yenu.


Hii ndio miezi ya mimba lazima kisu kilale kwny ala...mimi mimba yangu ilipatikana miezi hii,namimi nikafanya hivyohivyo hopefully mwanangu nae ataendeleza hii kitu wakat wake ukifika
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio,unaingiza kwa ndani huku nje inabaki kama mdomo wa cndm za kawaida lkn mkubwa kidogo...ngoja nikipita duka la dawa nitafungua box lake moja nipige picha maelekezo muone
Kwa hiyo na mwanaume nae atavaa yake au akivaa ntu mke inatosha?
 
Yaan natamani nimchungulie mdada anayevaa nione zinavyokuwa mambo mengine tuwe watazamaji izame humo
Haha nadhani atakua anahangaika nayo mpaka izame[emoji23] [emoji23] au anaivaa kidoleni ndo anaiingiza haha aise vitu vingine bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…