Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
[emoji87] [emoji87]Una mume wako condom ya nini jamani lazima ukulwe kavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji87] [emoji87]Una mume wako condom ya nini jamani lazima ukulwe kavu
Ninii sasa[emoji87] [emoji87]
Nimepata picha ulichokuwa unafanya jana usikuNinii sasa
Khaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3] umepata picha uliniona wapi mpaka uwaze hivyoNimepata picha ulichokuwa unafanya jana usiku
Yani kwa hali ya hewa kama ile ya jana umelala na mwenzio na wote mna afya njema kama hamjafanya basi kuna tatizo kati yenu.Khaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3] umepata picha uliniona wapi mpaka uwaze hivyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yani kwa hali ya hewa kama ile ya jana umelala na mwenzio na wote mna afya njema kama hamjafanya basi kuna tatizo kati yenu.
Hii ndio miezi ya mimba lazima kisu kilale kwny ala...mimi mimba yangu ilipatikana miezi hii,namimi nikafanya hivyohivyo hopefully mwanangu nae ataendeleza hii kitu wakat wake ukifika
Kwa hiyo na mwanaume nae atavaa yake au akivaa ntu mke inatosha?Ndio,unaingiza kwa ndani huku nje inabaki kama mdomo wa cndm za kawaida lkn mkubwa kidogo...ngoja nikipita duka la dawa nitafungua box lake moja nipige picha maelekezo muone
Hata mi siwezAiseee me siwezi kuvaa hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] akiipush inatokaIlimkuta rafiki yangu siku moja alihaha. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan natamani nimchungulie mdada anayevaa nione zinavyokuwa mambo mengine tuwe watazamaji izame humoHata mi siwez
Haha nadhani atakua anahangaika nayo mpaka izame[emoji23] [emoji23] au anaivaa kidoleni ndo anaiingiza haha aise vitu vingine banaYaan natamani nimchungulie mdada anayevaa nione zinavyokuwa mambo mengine tuwe watazamaji izame humo
Akatoaje sasa?Ilibidi nimuulizie kwa watu inatokajr maana alitaka kwenda hospital.
Hahaha vitu vingine sio vya majaribioHaha nadhani atakua anahangaika nayo mpaka izame[emoji23] [emoji23] au anaivaa kidoleni ndo anaiingiza haha aise vitu vingine bana
Khaaaa Jolie ni mpanaAkatoaje sasa?
Unatumia lakini?Ni kinga nazo.
Wanazisikia kwenye bomba tu
Cndm anavaa mmoja tu...ww sio mtumiaji wa hizi mambo huwezi kujuaKwa hiyo na mwanaume nae atavaa yake au akivaa ntu mke inatosha?