Tushapoteza 'advantage' dhidi ya Al Ahly

Hata wa Ndanda. Yanga wajanja sana. Wanaonyesha nia tu, jamaa wanawahi kusajili. Achana wawarundike.
Roho inawauma eeeh...mnataka waje Yanga wafe njaa...but hizi kelele kuanzia tarehe 16 hatutazisikia tena
 
Roho inawauma eeeh...mnataka waje Yanga wafe njaa...but hizi kelele kuanzia tarehe 16 hatutazisikia tena
Kwenu muhimu mechi dhidi ya Yanga tarehe 16 Kuliko ya All Ahly tarehe 12.
Hili zuri kwa Yanga. Kuleni tano nyingine za Al Ahly, halafu tuonane 16
 
Mikia bhana

Mnategemea hali ya hewa ili mshinde

Mo kawa msemaji wa mbumbumbu (mnisaidie kujua Haji yuko wapi)

Acheni kiherehere, Yanga alipowazuga kumsajili salamba mkaingia kichwa kichwa

Tushirikiane tu kwenye maombi zisifike 5 tena ili kuepushia Taifa aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si nasikia mvua ikinyesha Simba huwa anashinda?

MTC | 101| [emoji769]
 
Simba leo mtanena lugha zote ila kifo kipo palepale.
 
Kwenu muhimu mechi dhidi ya Yanga tarehe 16 Kuliko ya All Ahly tarehe 12.
Hili zuri kwa Yanga. Kuleni tano nyingine za Al Ahly, halafu tuonane 16
Tushakula tano tunawasubiri nyinyi tarehe 16 tuwafirimbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…