Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Mwishafirimbwa mno huko nje. Hao kumi si mchezo.Tushakula tano tunawasubiri nyinyi tarehe 16 tuwafirimbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwishafirimbwa mno huko nje. Hao kumi si mchezo.Tushakula tano tunawasubiri nyinyi tarehe 16 tuwafirimbe
Yuko sahihi kabisa, amewakumbusha wachezaji wajibu na jukumu lao kwa club.Mo kafanya kosa kubwa kusema kuna wachezaji wataachwa...morali itashuka
Hahaaah naona unajikakamua...ukipigwa bao moja or tano mimba ni ileile..tena bao moja ndo unaweza kuta linawatoto mapachaMwishafirimbwa mno huko nje. Hao kumi si mchezo.
Kwani unatesekaHapo bado mnataka advantage.
Jamaa wana misuli.
#jamaahamuwawezi#View attachment 1020278
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli yangu mnaikumbukaHali ya hewa iwe mbaya au nzuri sisi tunataka wachezaji wetu wapige kabumbu safi, tuna wachezaji mahiri kabisa simba oyeeee
Wewe njoo hapa
Hizi point kabla ya mechi mnazikumbuka nyie popo watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kujilinganisha ni udhaifu mkubwa tuliokua nao watanzania mkuu, hata mtoto alianza kukaa, akaja kutambaa, akaanza kusimama na hatimaye akatembea, kila kitu ni mchakato