Tushapoteza 'advantage' dhidi ya Al Ahly

Viruka njia kwa mujibu wa Mwigulu Nchemba tupeni matokeo. Hivi leo kwa mchina ngapi ngapi?
 
Mwishafirimbwa mno huko nje. Hao kumi si mchezo.
Hahaaah naona unajikakamua...ukipigwa bao moja or tano mimba ni ileile..tena bao moja ndo unaweza kuta linawatoto mapacha
 
Reactions: Tui
Kujilinganisha ni udhaifu mkubwa tuliokua nao watanzania mkuu, hata mtoto alianza kukaa, akaja kutambaa, akaanza kusimama na hatimaye akatembea, kila kitu ni mchakato
Hizi point kabla ya mechi mnazikumbuka nyie popo watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…