Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Nilimpata nikiwa mwaka wa tatu yeye wa kwanza. 2019
Nilimwandaa ili nimuone akimaliza chuo 2022 lakini amekuwa akiniambia wazazi wake wamesema atulie kidogo. Sijamlamba hadi leo sijui nifanyeje maana namkubali