Hamza swakala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2022
- 479
- 619
eeh bhana eeeAmbacho nasubiria kusikia toka kwa Carleen ni kwamba, tukiondoa sex kwenye hayo mahusiano, huyo mdada ni value gani anaweza kuoffer kwenye hayo mahusiano kwa miaka 3?
Maana kwa kipindi hicho chote, mwanaume lazima ahudumie mwanamke wake,na kusimamia necessary costs zote
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app