TUSHAURIANE VEMA HAPA

Nilimpata nikiwa mwaka wa tatu yeye wa kwanza. 2019
Nilimwandaa ili nimuone akimaliza chuo 2022 lakini amekuwa akiniambia wazazi wake wamesema atulie kidogo. Sijamlamba hadi leo sijui nifanyeje maana namkubali
Hiyo tunaita mgawanyo wa majukumu. Wewe unatunza, mwingine anagonga.

3 years hujampelekea kobilo, una akili ww?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…