Ambacho nasubiria kusikia toka kwa
Carleen ni kwamba, tukiondoa sex kwenye hayo mahusiano, huyo mdada ni value gani anaweza kuoffer kwenye hayo mahusiano kwa miaka 3?
Maana kwa kipindi hicho chote, mwanaume lazima ahudumie mwanamke wake,na kusimamia necessary costs zote