Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Feb 3, 2022 #181 Farolito said: Hali bado si shwari sana acha tubakie hapo,ikipanda kuna wapenzi hawataambulia kitu[emoji28] Click to expand... Hahahaa. Kwa kweli Mkuu. Japo maisha yamebadilika si ajabu kwa sasa hiyo twenti isitoshe kufanya ulichodhamiria kukifanya 2020. Yaani maisha yamekuwa ghali.
Farolito said: Hali bado si shwari sana acha tubakie hapo,ikipanda kuna wapenzi hawataambulia kitu[emoji28] Click to expand... Hahahaa. Kwa kweli Mkuu. Japo maisha yamebadilika si ajabu kwa sasa hiyo twenti isitoshe kufanya ulichodhamiria kukifanya 2020. Yaani maisha yamekuwa ghali.
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 Feb 3, 2022 Thread starter #182 Shadeeya said: Hahahaa. Kwa kweli Mkuu. Japo maisha yamebadilika si ajabu kwa sasa hiyo twenti isitoshe kufanya ulichodhamiria kukifanya 2020. Yaani maisha yamekuwa ghali. Click to expand... Ni kweli aisee,ila sio mbaya kwa kuanzia ila kama pochi inasoma kwanini mtu ajibane
Shadeeya said: Hahahaa. Kwa kweli Mkuu. Japo maisha yamebadilika si ajabu kwa sasa hiyo twenti isitoshe kufanya ulichodhamiria kukifanya 2020. Yaani maisha yamekuwa ghali. Click to expand... Ni kweli aisee,ila sio mbaya kwa kuanzia ila kama pochi inasoma kwanini mtu ajibane
D Deco de sousa Member Joined Apr 19, 2021 Posts 13 Reaction score 18 Feb 3, 2022 #183 gluckkcom said: Mnunulie ped za ten (10000) na toilet paper za ten piah (10000) Click to expand... Kizazi sana brow..
gluckkcom said: Mnunulie ped za ten (10000) na toilet paper za ten piah (10000) Click to expand... Kizazi sana brow..
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 Feb 13, 2023 Thread starter #184 Kesho tena
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Feb 13, 2023 #186 Achana na mapenzi tu asee