Tushauriane zawadi ya Valentine's Day isiyozidi Tsh 20,000/=

Hali bado si shwari sana acha tubakie hapo,ikipanda kuna wapenzi hawataambulia kitu[emoji28]
Hahahaa. Kwa kweli Mkuu.

Japo maisha yamebadilika si ajabu kwa sasa hiyo twenti isitoshe kufanya ulichodhamiria kukifanya 2020. Yaani maisha yamekuwa ghali.
 
Ni kweli aisee,ila sio mbaya kwa kuanzia ila kama pochi inasoma kwanini mtu ajibane
 
Back
Top Bottom