Tushauriane zawadi ya Valentine's Day isiyozidi Tsh 20,000/=

Flowers mm naona sio gift ambayo itamshangaza mtu alafu flowers unaweza pewa hata kila week.
Mimi naona vitu vingine vyote ni jukumu lake kuninunulia lakini flowers na cards alizoziandika yeye moyo wangu huwa unafarijika sana. Naona kama ni kitu alichokitoa kwa hisia.
Cards nizitunze halafu siku nianze kuzisoma moja moja, napenda sana.
 
Financial freedom is my only hope
 
Hiyo hapo:

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Duh kweli watu tuko tofauti sana.. mimi nilisahau hadi birthday yangu ,x mass sisherehekei ,pasaka ndio nilishasahau.. huwa nasherehekea niki-achieve kitu nilichokua napambania au nikifanya kazi kwa muda mrefu huwa najipa ka sikukuu ka kujipoza na ugumu wa maisha..

Kwahio hayo mambo ya valentine yatanisamehe tu na baby atanisamehe kama ndio dalili za kuchapiwa acha nichapiwe tu..
Lkn deep down anajua namkubali sana hata kama sitapeleka maua mekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…