Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Twende sehemu nyingineManake hapo umekataa offer sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende sehemu nyingineManake hapo umekataa offer sio?
SawaTwende sehemu nyingine
Wakuu wawe serious kutoa mawazo hapa....wengine sio wazuri kwenye mazawadi so tunakusanya ideals
Zinafaa bado kutolewa km zawadiHivi siku hizi maua na kadi haviruhusiwi kutolewa kama zawadi tena
Una miaka mingapi hujapeleka zawaidi ya Valentine?
Muuza genge au?Nyanya sado 2
Sasa kwanini usimpe tu hizo 12,000 akajue mwenyewe cha kufanyia?Kuelekea sikukuu ya wapendao 14/02/2020.
Hebu weka wazo la zawadi unayofikiri utanunua au kuandaa kwa ajili ya mpenzi/mpendwa wako ila bajeti isizidi Shilingi 20,000/=
Kwa kuweka limit ya kiwango hiki pengine itashawishi wengine wanaofikiri zawadi ni lazima iwe ya gharama kubwa.
Inaweza kuwa zawadi ya elfu 1,2,5,10 nk ilimradi isizidi kiwango tajwa hapo juu,lengo ni kuonyesha upendo na kujali bila kuangalia thamani ya zawadi.
N:B Mimi nafikiria kuandaa kuku wa kukaanga kwa kachumbari na Pepsi 1
(Nitaandaa mwenyewe Nyumbani)
Bajeti:
Kuku 1 wa kienyeji. 10,000
Pepsi take away. 1,000
Jumla. 12,000
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuelekea sikukuu ya wapendao 14/02/2020.

Nyumbani hapiki?!Muuza genge au?