Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
- Thread starter
- #81
Ni nzuri tatizo kuharibu menoBox zima la Jojo..Bublish 3000 tu.
Mpenzio atafurahia
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nzuri tatizo kuharibu menoBox zima la Jojo..Bublish 3000 tu.
Mpenzio atafurahia
[emoji3][emoji3]Je, mpenzi wako anacho kitambulisho cha NIDA? Zawasi kubwa jikokote nae akajiandikishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh kwangu ni siku kama siku nyingine tuu... Nikiwa nacho mtu anakula bata la kufa mtu
Jr[emoji769]
Maua yanakauka baada siku mbili tatu; hayo tunatumia kama chambo tu mwanzoni.Hivi siku hizi maua na kadi haviruhusiwi kutolewa kama zawadi tena
Sasa kwanini usimpe tu hizo 12,000 akajue mwenyewe cha kufanyia?
Chocolate (Dairy milk) 2 = 7000
Kadi ya valentines (old is gold) = 1000
Bracelet (isiwe gold wala silver kuepuka vitu fake) = 10,000 au nguo za ndani fashionable hata 2 au 3
Total = 18,000
Chench iliyobaki iweke kwa next valentine au nunua ua jekundu ukienda kununua kadi
N.b: Uzito wa zawadi hubebwa na utamu wa siku hiyo. Make it special haitojalisha umemnunulia nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Zawadi imesemwa kwenye biblia kitabu cha hesabu 9:11
Mpangilio mzuri ,ila vichapuza ni nini?Elf 20!
Elf 3 naweka bando nadownload movies kama nne hv. Elf 10 maini, ndizi mzuzu na viungo (karoti, hoho, kitunguu) elf 3 matunda kwa ajili ya juice na elf 4 popcorns chocolates, jojo
Naandaa msosi wa nguvu na juice ya kushushia baada ya hapo tunaangalia movies na kula zetu vichapuza!
The best gift itakuwa muda wangu [emoji4]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu yaani mapama?[emoji23] Daaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hasa kwa wanawake,mfano unaweza kumpa mwanamke t.sh 5000 akaidharau lakini ukimpa ice cream ya ukwaju ya Azam (500 tu) atakuona mwamba
Ndio hivyo mkuuNi kweli hasa kwa wanawake,mfano unaweza kumpa mwanamke t.sh 5000 akaidharau lakini ukimpa ice cream ya ukwaju ya Azam (500 tu) atakuona mwamba
[emoji3]Kwani hiyo valentine inafanyika tarehe ngapi na ukumbi gani? Mi nasikiaga tu na kuona mnaandika humu
Sent using Jamii Forums mobile app