Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
- Thread starter
- #141
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap,ni maamuzi tu,life is full of choicesDuh kweli watu tuko tofauti sana.. mimi nilisahau hadi birthday yangu ,x mass sisherehekei ,pasaka ndio nilishasahau.. huwa nasherehekea niki-achieve kitu nilichokua napambania au nikifanya kazi kwa muda mrefu huwa najipa ka sikukuu ka kujipoza na ugumu wa maisha..
Kwahio hayo mambo ya valentine yatanisamehe tu na baby atanisamehe kama ndio dalili za kuchapiwa acha nichapiwe tu..
Lkn deep down anajua namkubali sana hata kama sitapeleka maua mekundu
Kwakua valentine ina content ya rangi nyekundu basi kamnunulie nyanya za 15000 na hivi zimepanda bei zitakuwa nyingi, atakuona wa maana sana kipindi hiki kigumu cha nyanya
Sent from my iPhone using JamiiForums
liongoMe tokea nimeanza kujitambua sijawahi hata Valentine moja 😀
Hamna zawadi nzuri kama KUongea Face to Face na umpendae
tumezoea kupigiana simu kwasababu hatukai pamoja sasa hii siku
ibadilishe,mtafute Mtoe OUT mpeleke sehemu yyte nzuri tulivu unayoijua
kanyweni hata glass 1 moja ya juice sehemu yenye hadhi na assume
glass itakua 5000 x 2 = 10,000 kisha 5000 ingine iwe nauli yenu go n return
wakati mnaachana Mwambie Kwa upole na upendo Baby i have this amount for you
itumie kwa ajli ya Nauli kurudi home,sina zaidi mpenzi wangu Siku moja nitakupa
nyingi na zaidi ya hii Love. Kisha msindikize akapande DalaDala/Bodaboda.
ONYO: Msi fanye mapenzi hii siku,acha ipite itumie ku spend nae mahali na zawadi
kubwa ya hii siku iwe ni maneno matamu na mazuri,mdekeze kuliko siku zote zile.
Mamaye, unataka mtoto wa watu ajiue [emoji23][emoji23][emoji23]Unga robo na dagaa buku itakayobaki weka kwa ajili valentine nyingine
Believe me hawezi kukusahau maisha yake yote iwe kwa kheri au kwa shari
Pal usinisahau jamaniHamna zawadi nzuri kama KUongea Face to Face na umpendae
tumezoea kupigiana simu kwasababu hatukai pamoja sasa hii siku
ibadilishe,mtafute Mtoe OUT mpeleke sehemu yyte nzuri tulivu unayoijua
kanyweni hata glass 1 moja ya juice sehemu yenye hadhi na assume
glass itakua 5000 x 2 = 10,000 kisha 5000 ingine iwe nauli yenu go n return
wakati mnaachana Mwambie Kwa upole na upendo Baby i have this amount for you
itumie kwa ajli ya Nauli kurudi home,sina zaidi mpenzi wangu Siku moja nitakupa
nyingi na zaidi ya hii Love. Kisha msindikize akapande DalaDala/Bodaboda.
ONYO: Msi fanye mapenzi hii siku,acha ipite itumie ku spend nae mahali na zawadi
kubwa ya hii siku iwe ni maneno matamu na mazuri,mdekeze kuliko siku zote zile.
Kuna mdau kashauri unga na dagaa, wazo lake sio baya[emoji28][emoji28]Mnunulie handbag au wallet
Ndio sio bayaKuna mdau kashauri unga na dagaa, wazo lake sio baya[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli eti, emu anza wewe hii Valentineliongo
Wewe tena Pal,niachie hilo japoPal usinisahau jamani
endelea nipampishaKweli eti, emu anza wewe hii Valentine