Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kipigo cha goli 1-0 walichokipata Cape Verde leo Nambole stadium kimeongeza matumaini ya timu yetu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuvuzu Afcon itakayofanyika nchini Cameroon.
Stars ambayo itakuwa ugenini kesho matokeo yoyote ya ushindi itafuzu moja kwa moja baada ya kufikisha points 8 ambazo hakuna timu itakayozifikia.
Mungu ibariki Taifa Stars
Stars ambayo itakuwa ugenini kesho matokeo yoyote ya ushindi itafuzu moja kwa moja baada ya kufikisha points 8 ambazo hakuna timu itakayozifikia.
Mungu ibariki Taifa Stars