Tushindwe wenyewe tu,Uganda wamefungua njia

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Kipigo cha goli 1-0 walichokipata Cape Verde leo Nambole stadium kimeongeza matumaini ya timu yetu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuvuzu Afcon itakayofanyika nchini Cameroon.

Stars ambayo itakuwa ugenini kesho matokeo yoyote ya ushindi itafuzu moja kwa moja baada ya kufikisha points 8 ambazo hakuna timu itakayozifikia.

Mungu ibariki Taifa Stars
 
Mungu ibariki timu yeti ya taifa ishinde
 
Bora tufungwe tu maana kuna chama kitajifanya kimesababisha tufuzu
 
mimi ndio mtatibu mkuu tena mzalendo kweli kweli... huu ndio ukweli sema mchungu sana kumeza, ipo hivi kwenye hili group anapita UGANDA na CAPE VERDE... matokeo yatakua hivi... huko Lesotho tunapigwa na tukikaza sana tunatoa droo, then Uganda wakija nyumbani tunatoa droo au wanatupiga Moja la heshima.... Mechi ya mwisho YA Cape Verde na LESOTHO, Cape Verde anampiga/anaua Lesotho zaidi ya bao mbili, Hapo anapita UGANDA na CAPE VERDE.......<<<Mark my comment>>>
 
Tunatoa sare leo
Mechi ya mwisho tunashinda
 
Back
Top Bottom