Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hatuna jeuri hiyo sisi uswahili ndiyo tunauwezaKila la kheri Taifa stars,
Natabiri stars watashinda 1-0
Kama hawana jeuri hiyo,sasa wamefikaje hapo walipo kwa sasa?Hatuna jeuri hiyo sisi uswahili ndiyo tunauweza
Tukumbushane keshoKama hawana jeuri hiyo,sasa wamefikaje hapo walipo kwa sasa?
Time will tell.Tukumbushane kesho
Badili hiyo Avatar mkuu,🙂Bora tufungwe tu maana kuna chama kitajifanya kimesababisha tufuzu
fanya kma hauja ionaBadili hiyo Avatar mkuu,🙂
Hilo haliwezekani kwa mwanaume rijali,fanya kma hauja iona
Mech saa ngp MkuuBora tufungwe tu maana kuna chama kitajifanya kimesababisha tufuzu
Ajifanye anajikuna tuufanya kma hauja iona
Wachafuzi hawa. Baada vijana kuikuza bongo flavour naona wameanza kuifitini.Bora tufungwe tu maana kuna chama kitajifanya kimesababisha tufuzu
Kumi na moja SS7Mech saa ngp Mkuu
Saa kumi na mojaKwanza match saa ngp?
Tunatoa sare leomimi ndio mtatibu mkuu tena mzalendo kweli kweli... huu ndio ukweli sema mchungu sana kumeza, ipo hivi kwenye hili group anapita UGANDA na CAPE VERDE... matokeo yatakua hivi... huko Lesotho tunapigwa na tukikaza sana tunatoa droo, then Uganda wakija nyumbani tunatoa droo au wanatupiga Moja la heshima.... Mechi ya mwisho YA Cape Verde na LESOTHO, Cape Verde anampiga/anaua Lesotho zaidi ya bao mbili, Hapo anapita UGANDA na CAPE VERDE.......<<<Mark my comment>>>
OK poaSaa kumi na moja