Mwezi uloisha, na mara zote tunajisaidia pale tunapotaka kununua vyakula kabisaWanachimba sana tu mara ya mwisho kwenda mkoani lin madam
Nachoka pale mama mkubwa anakuja pale unapo jiachia mara paaap uyo nayeUnashangaa pale unapopanda mabasi yanayokwenda Zambia au Zimbabwe,,, wakati wa kuchimba dawa unajikuta DUME KIPARA peke yako,, wengine wote GOVINDA.,, ajabu sana
hahahahahaha kwakweli umenichekesha mi huwa nawaza sana hilo maana sisi 'ke' huwezi kujiachia karibu na basi kwa aibu .......... lakini sasa kuwaza kuzama machakani nawazia, swila anaweza kukuibukia kuwenye kipochi manyoya akikigonga utafunga wapi ili sumu isisambae...........majangaz................Aisee sitahau nilipokoswa na kugongwa na nyoka wakati na chimba dawa. Nilikoma sitakuja kuchimba dawa vichakani.
DuuuNachoka pale mama mkubwa anakuja pale unapo jiachia mara paaap uyo naye
Taabu kwel kwelhahahahahaha kwakweli umenichekesha mi huwa nawaza sana hilo maana sisi 'ke' huwezi kujiachia karibu na basi kwa aibu .......... lakini sasa kuwaza kuzama machakani nawazia, swila anaweza kukuibukia kuwenye kipochi manyoya akikigonga utafunga wapi ili sumu isisambae...........majangaz................