Tushirikishane adha ya wachimba dawa wakati wa safari

AKASINOZO

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
1,367
Reaction score
2,219
Aisee sitahau nilipokoswa na kugongwa na nyoka wakati na chimba dawa. Nilikoma sitakuja kuchimba dawa vichakani.
 
Unashangaa pale unapopanda mabasi yanayokwenda Zambia au Zimbabwe,,, wakati wa kuchimba dawa unajikuta DUME KIPARA peke yako,, wengine wote GOVINDA.,, ajabu sana
 
Aisee sitahau nilipokoswa na kugongwa na nyoka wakati na chimba dawa. Nilikoma sitakuja kuchimba dawa vichakani.
hahahahahaha kwakweli umenichekesha mi huwa nawaza sana hilo maana sisi 'ke' huwezi kujiachia karibu na basi kwa aibu .......... lakini sasa kuwaza kuzama machakani nawazia, swila anaweza kukuibukia kuwenye kipochi manyoya akikigonga utafunga wapi ili sumu isisambae...........majangaz................
 
Taabu kwel kwel
 
Back
Top Bottom