musixmatch inapatikana playstoreJamani naonba anayejua app ya kuisikilizia music halafu inakutajia jina la msanii aliyeimba tofauti na shazam
Soundhound.Jamani naonba anayejua app ya kuisikilizia music halafu inakutajia jina la msanii aliyeimba tofauti na shazam
Videoder mwisho wa yote.Kwangu naikubali sana Videoder
Yeah haina mshindaniVideoder mwisho wa yote.
Ushapata jibu?? Mwemyew sielewbc siku nkipata tatzo ntarud mkuu
Smart TV ya android. ..Wadau naomba kuiliza nikitaka niangalie move za mobdro kupitia tv ya kawaida ninikinahitajika
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] umefanikiwa? Ukipata ni pm mkuuMsaada kidogo, nahitaji app ya speed ya gari niwe nayo kwenye simu, pia app yoyote nikiwa speed nikikarbia kwa traffic inapiga alam,
Makini app[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] umefanikiwa? Ukipata ni pm mkuu
Na mm naenda kuipakuaHiyo App ukiijulia vizuri hutojuta, inafanya mambo mengi nje na hayo uliyo yaona.
Nina picha nikikuonesha huwezi amini kama zime editiwa na hiyo App.
Iko vizuri hii app nimeipenda hivi hakuna na maujanja yanayoweza fanyika mtu ukaweza kuweka beat yani ukalekodi ukiwa unaenda na beatView attachment 440114Application hii ni kwa ajili ya kurekodi sauti zaidi ya mara 3.
Kwa wazee wa studio na vocal hii itawafaa sana for practice pale unapo-compose wimbo utajiskia una-sound vipi.
Ni nzuri, jaribu kuitumia. Inaitwa J4T.
Jaribu iQuran Lite, ipo safi sana.Samahani nahitaji kujua application nzuri ya Qur'an in Arabic.
Mi natumia AVG iko poa sanaNaomba mnisaidie ant virus ya kuaminika kwa Android devices...