Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Jamani naonba anayejua app ya kuisikilizia music halafu inakutajia jina la msanii aliyeimba tofauti na shazam
 
Wadau naomba kuiliza nikitaka niangalie move za mobdro kupitia tv ya kawaida ninikinahitajika
 
1480225566699.png
Application hii ni kwa ajili ya kurekodi sauti zaidi ya mara 3.

Kwa wazee wa studio na vocal hii itawafaa sana for practice pale unapo-compose wimbo utajiskia una-sound vipi.

Ni nzuri, jaribu kuitumia. Inaitwa J4T.
 
Hivi ni application gani itaniwezasha kuweka sauti kama effect wanazotumia madj kwa mfano kuna jingle moja ile dj mrishooo
 
View attachment 440114Application hii ni kwa ajili ya kurekodi sauti zaidi ya mara 3.

Kwa wazee wa studio na vocal hii itawafaa sana for practice pale unapo-compose wimbo utajiskia una-sound vipi.

Ni nzuri, jaribu kuitumia. Inaitwa J4T.
Iko vizuri hii app nimeipenda hivi hakuna na maujanja yanayoweza fanyika mtu ukaweza kuweka beat yani ukalekodi ukiwa unaenda na beat
 
kwangu kudownload hiyo mobdro inazingua. msaada pliz natumia hiawei 530
 
Back
Top Bottom