Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu naombeni msaada wa haraka cm yangu nime root ss majanga yaliyopo kila app lock ninayoweka haifungi cm yangu yaani hapa cina amani kabisa msaada kwenye tuta nimekwamaaa!
Si dhani kama hiyo shida inasababishwa na ku root, hakuna uhusiano wa moja kwa moja ku root na simu na hilo tatizo hapo ni mawili
1. Android version kuanzia lollipop huwa ina auto stop, app ambazo zina run muda wote.
2. App uliyo root umeweka on hiyo app ya lock isifanya kazi hadi parmission yako.
 
Naomba kuuliza kuroot ndo kufanyaje na process kama inawezekana na kifaa gani kinarootiwa Cm ama tablet
 
Asante mkuu ngoja nijaribu tena kuichek vizuri setting zake labda kuna sehemu nime unlock maana ni shida
 
mbona kwangu chane hazifunguki kwa nini inaniandikia mambo ya language sijui kuchagua au ndo imekufaa
 
Jamani mimi natumia tecno W4
Je nikiroot hii sim kuna kitu applications gani nazikosa Kwa kuwa tu sim haijawa rooted?
hapo unazikosa application zote ambazo ni paid otherwise ununue mtandaoni. ambazo ni full no adds wala matangazo
 
naombeni mnielekeze ni wapi ntapata tamthiliaa wanazozungumza kingereza coz kila ninazo download wanazungumza lugha zao,mfano za kihindi,telemundo kila nikiingia you yube hamna wanazoongea kingereza naombeni mnisaidie nazipataje
 
naombeni mnielekeze ni wapi ntapata tamthiliaa wanazozungumza kingereza coz kila ninazo download wanazungumza lugha zao,mfano za kihindi,telemundo kila nikiingia you yube hamna wanazoongea kingereza naombeni mnisaidie nazipataje
Hebu pitiaa huu uzi pole pole unaweza pata pa kuanzia...
Series (Special thread)
 
Mkuu sio whatsap 2 au 3 ni zaidi ya hapo hapo nimechanganya whatsap ya kawaida na whatsap plus.tatizo nashindwa kuweka link hapa ningetuma ukazidownload mwenyewe au nipe no yako nikutumie link whatsap.
0759323948 link ya whatsapp plus kk nitumie whtsap
 
Nataka link ya games ambazo zina cheza kwenye ppsspp
 
Hivi group la whatsapp lilianzishwa kweli?? Kuhusiana na hii thread. Naona kama vipi tuliendeleze tu humu hakuna haja kwenda whatsapp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…