Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu naombeni msaada wa haraka cm yangu nime root ss majanga yaliyopo kila app lock ninayoweka haifungi cm yangu yaani hapa cina amani kabisa msaada kwenye tuta nimekwamaaa!
Si dhani kama hiyo shida inasababishwa na ku root, hakuna uhusiano wa moja kwa moja ku root na simu na hilo tatizo hapo ni mawili
1. Android version kuanzia lollipop huwa ina auto stop, app ambazo zina run muda wote.
2. App uliyo root umeweka on hiyo app ya lock isifanya kazi hadi parmission yako.
 
KWA MASUALA YA DOCUMENTATION, NATUMIA WPS NA CAMSCANNER,

SPORTS, LIVESCORE, NA GOAL

MUSIC NINA POWERAMP NA JET AUDIO

VIDEO NINA MIXPLAYER NA AK PLAYER

VIDEO DOWNLOADING NATUMIA VIDEODER NA STREAMING NATUMIA MOBDRO

KUTUMIA APPS ZA KULIPIA BURE NATUMIA LUCKY PATCHER NA FREEDOM

KWA APPEARANCE NA MADOIDO MENGINE NATUMIA ARROW LAUNCHER,
AP 15 LAUNCHER (MY BEST LAUNCHER)

APPS STORE ZANGU NI BLACKMART, APTODE, UP2DOWN HUMO APPS ZOTE ZINAZOPATIKANA PLAYSTORE NAZIPATA BURE KABISA.

KU BROWSE NATUMIA UCBROWSER ONLY, SIJAKUTANA NA KAMA HYO KWA UPANDE WANGU.

NABROWSE DEEP WEB KWA MCHANGANYIKO WA ORWALL, ORBORT, ORFOX.

NIMEROOTBDEVICE YANGU SO NATUMIA KARIBIABTOOLS ZOTE MUHIM KWABROOTED DEVICE KAMA VILE, EXPOSSED INSTALLER, ROM TOOLBOX, ROM MANAGER, SYSTEMBREMOVER APPS NK.

KARIBUNI TUBADILISHANEBMAUELEWA.

KWABUSIKU HUWA NATUMIA NIGHT SCREEN,
Naomba kuuliza kuroot ndo kufanyaje na process kama inawezekana na kifaa gani kinarootiwa Cm ama tablet
 
Kuna moja inaitwa peel smart iko vizuri sana, ninaitumia
488b8beb65e3aa2cb0b5164f5e9fde2f.jpg

Natumia j8 lakini nimeambiwa haisapoti kwenye google play vp siwez pata link?
 
Si dhani kama hiyo shida inasababishwa na ku root, hakuna uhusiano wa moja kwa moja ku root na simu na hilo tatizo hapo ni mawili
1. Android version kuanzia lollipop huwa ina auto stop, app ambazo zina run muda wote.
2. App uliyo root umeweka on hiyo app ya lock isifanya kazi hadi parmission yako.
Asante mkuu ngoja nijaribu tena kuichek vizuri setting zake labda kuna sehemu nime unlock maana ni shida
 
MOBDRO ni app ya kuangalia TV.. (iptv)
Kwa Kutumia simu yako..
Ni app ambayo haipo Playstore..

Faida..
Ni kwamba unaweza kuangalia lots of Channel's zaidi ya channels 100.

Hasara..
Inakula sanaa mb kama YouTube.

Kazi kwako.
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
mbona kwangu chane hazifunguki kwa nini inaniandikia mambo ya language sijui kuchagua au ndo imekufaa
 
Jamani mimi natumia tecno W4
Je nikiroot hii sim kuna kitu applications gani nazikosa Kwa kuwa tu sim haijawa rooted?
hapo unazikosa application zote ambazo ni paid otherwise ununue mtandaoni. ambazo ni full no adds wala matangazo
 
naombeni mnielekeze ni wapi ntapata tamthiliaa wanazozungumza kingereza coz kila ninazo download wanazungumza lugha zao,mfano za kihindi,telemundo kila nikiingia you yube hamna wanazoongea kingereza naombeni mnisaidie nazipataje
 
Mkuu sio whatsap 2 au 3 ni zaidi ya hapo hapo nimechanganya whatsap ya kawaida na whatsap plus.tatizo nashindwa kuweka link hapa ningetuma ukazidownload mwenyewe au nipe no yako nikutumie link whatsap.
0759323948 link ya whatsapp plus kk nitumie whtsap
 
Hivi group la whatsapp lilianzishwa kweli?? Kuhusiana na hii thread. Naona kama vipi tuliendeleze tu humu hakuna haja kwenda whatsapp
 
Back
Top Bottom