Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu shukurani kwa elimu Bora mnayo toa...naomba kujua namna ya kucheki cm yang ya tecno C9 kama ni original lengo nataka kuiroot na baada ya hapo mnisaidie rooting program nzuri kwa cm aina hii....Asanteni sn
 
Jaman nawezaje ku print matokeo kwa kutumia simu

Hebu fafanua mkuu u-print matokeo kwa kutumia simu kisha hayo makaratasi ya matokeo yatoke humo kwenye au utayaingizaje makaratasi kwenye halaf uanze kuya-print kwa kutumia simu mkuu...?

Ni mimi sjaelewa au ni wewe ndio hujaeleweka ndugu...?

Tueleweshane vizuri.
 
Hii ishu inawezekana ila simu iwe na hiyo feature ya print then atatumia usb cable kwenda kwenye printer.

Otherwise aya dawnload in pdf format.
 
Wakuu shukurani kwa elimu Bora mnayo toa...naomba kujua namna ya kucheki cm yang ya tecno C9 kama ni original lengo nataka kuiroot na baada ya hapo mnisaidie rooting program nzuri kwa cm aina hii....Asanteni sn
Mkuu kama simu ingekuwa ni fake TCRA wangeshafanya yao.
Ila kukusaidia kwa kuwa ni tecno
Ingia hapa na ufuate maelekezo
Genuine Check
 
Wakuu kuna mtu ambaye amefanikiwa kuroot Android 6,marshmallows!? Nimejaribu kwa King root na kingo root lakini nmechemka. Kwa aliyefanikiwa tafadhari anisaidie alifanyaje!!
 
Hii ishu inawezekana ila simu iwe na hiyo feature ya print then atatumia usb cable kwenda kwenye printer.

Otherwise aya dawnload in pdf format.

Hata nnavyojua mimi printer ndio hutumika ku-print na sio simu sasa swali la mdau sikulielewa alimaanisha nini that's why nikamuuliza hivyo.

Kwa kutumia usb cable atatakiwa ku-connect na printer na kama unavyosema kuwa simu iwe na hiyo feature.

Otherwise azitume hizo documents kwenye PC kwa usb au bluetooth PC ilikuwa connected na printer then ata-print kutokea kwenye PC wenye ujuzi watampa maarifa zaidi.

Shukran.
 
iv naweza kupata application ya kupunguza ukubwa wa mb ktk video,mfn video ina mb 200 nataka iwe 5 iv..km ipo nipen jibu tafadhal
 
weka truecaller app hata ikupigie namba ngeni utaijua tu inaleta identity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…