Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu naomba kujuzwa jinsi ya kuinstal online tv kwenye pc.
Kwa ajili yakuangalia football
 
Msaada
nitumue softwere gani ku root huawei p9
Ingependeza kama ungetupia na link yake kabisa nimejaribu king rooted imegoma ina fika asilimia kadhaa inagoma
 
Hata nnavyojua mimi printer ndio hutumika ku-print na sio simu sasa swali la mdau sikulielewa alimaanisha nini that's why nikamuuliza hivyo.

Kwa kutumia usb cable atatakiwa ku-connect na printer na kama unavyosema kuwa simu iwe na hiyo feature.

Otherwise azitume hizo documents kwenye PC kwa usb au bluetooth PC ilikuwa connected na printer then ata-print kutokea kwenye PC wenye ujuzi watampa maarifa zaidi.

Shukran.
Kuna wireless printing, kuna ku print via bluetooth
 
Kuna wireless printing, kuna ku print via bluetooth

Vyovyote mkuu ila nnavyojua mimi kinacho-print ni printer.

Au labda hiyo wireless au bluetooth ndio inayo-print kiongozi...?

Tumia wireless, tumia bluetooth, tumia cable, ila kinacho-print sio simu wala hivyo vitu hapo juu.

Kinacho-print ni printer. Period.
 
Wakuu naombeni msaada nina simu yangu huwa inaji run yenyewe.. kwa mfano nikiwa naandika text kabla sijamaliza, ile text inajituma yenyewe; au mfano nikiwa you tube nacheki video gafla inaji next yenyewe ...so naombeni msaada wakuu nin tatizo?
 
tafuta latest version Google hata Mimi ilikuwa inasumbua kila siku inaleta updates za maneno ya kiarabu nikaingia Google nikatafuta latest app yake icheki hapo mkuu http://modapk.io/apkreal/gbwhatsapp_apkreal-apk/
Nimedownload gbw gbwatsup na nilikua na whatup ya kawaida nataka nitumie gbwatup 2 niuninstall ile nyingine ntafanyaje ili data zangu ziendeleekubakia
Msaada please
 
My Calendar, App nzuri kwa wanawake kupanga mambo yetu yale ya siku, link sijui kuweka
 
Nimedownload gbw gbwatsup na nilikua na whatup ya kawaida nataka nitumie gbwatup 2 niuninstall ile nyingine ntafanyaje ili data zangu ziendeleekubakia
Msaada please
Fanya backup kabla ujaiunistall apo kila kitu kitakaa kwenye mpangilio wake
 
Nimedownload gbw gbwatsup na nilikua na whatup ya kawaida nataka nitumie gbwatup 2 niuninstall ile nyingine ntafanyaje ili data zangu ziendeleekubakia
Msaada please
install gbwhatsapp kisha fanya kurestore hiyo GBwhatsapp data zako zote zinarudi kisha unaweza kufuta ile whatsapp yakawaida.
 
Mkuu ahsante
Hata hivyo zote zimegoma
Hivi kuroot marshallow 6.0 unahitaji rooter ipi???
Nikipata link ingekuwa poa sana
mkuu sikujua kama unatumia Android 6.0 hebu jaribu na hizi kama itasaidia
How to Root Android 6.0 (Marshmallow) with KingoRoot APK
kama ukishindwa jaribu kusearch Google au YouTube unaweza kupata tutorial mbalimbali

Ila hizo latest android version za kuanzia 5.0 lollipop mpk 6.0 mashallow sijawahi kujaribu Mimi nmezoea 4.4.4 kitkat.
 
Back
Top Bottom