Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu kwa ufaham wangu ukubaliane na kupungua kwa ubora wa video pia.iv naweza kupata application ya kupunguza ukubwa wa mb ktk video,mfn video ina mb 200 nataka iwe 5 iv..km ipo nipen jibu tafadhal
Kuna wireless printing, kuna ku print via bluetoothHata nnavyojua mimi printer ndio hutumika ku-print na sio simu sasa swali la mdau sikulielewa alimaanisha nini that's why nikamuuliza hivyo.
Kwa kutumia usb cable atatakiwa ku-connect na printer na kama unavyosema kuwa simu iwe na hiyo feature.
Otherwise azitume hizo documents kwenye PC kwa usb au bluetooth PC ilikuwa connected na printer then ata-print kutokea kwenye PC wenye ujuzi watampa maarifa zaidi.
Shukran.
ikigoma moja unatakiwa kucheki na nyingine kama vileMsaada
nitumue softwere gani ku root huawei p9
Ingependeza kama ungetupia na link yake kabisa nimejaribu king rooted imegoma ina fika asilimia kadhaa inagoma
kwann mkuuHii kitu kwa ufaham wangu ukubaliane na kupungua kwa ubora wa video pia.
Kaka uliandika kwa upole na hekima sana, hongeraUckasrike kaka ni kuwaelekeza tu kaka..
Au whoscoredJaribu fotmob
Kuna wireless printing, kuna ku print via bluetooth
Nimedownload gbw gbwatsup na nilikua na whatup ya kawaida nataka nitumie gbwatup 2 niuninstall ile nyingine ntafanyaje ili data zangu ziendeleekubakiatafuta latest version Google hata Mimi ilikuwa inasumbua kila siku inaleta updates za maneno ya kiarabu nikaingia Google nikatafuta latest app yake icheki hapo mkuu http://modapk.io/apkreal/gbwhatsapp_apkreal-apk/
Fanya backup kabla ujaiunistall apo kila kitu kitakaa kwenye mpangilio wakeNimedownload gbw gbwatsup na nilikua na whatup ya kawaida nataka nitumie gbwatup 2 niuninstall ile nyingine ntafanyaje ili data zangu ziendeleekubakia
Msaada please
install gbwhatsapp kisha fanya kurestore hiyo GBwhatsapp data zako zote zinarudi kisha unaweza kufuta ile whatsapp yakawaida.Nimedownload gbw gbwatsup na nilikua na whatup ya kawaida nataka nitumie gbwatup 2 niuninstall ile nyingine ntafanyaje ili data zangu ziendeleekubakia
Msaada please
Asanteni wakuuinstall gbwhatsapp kisha fanya kurestore hiyo GBwhatsapp data zako zote zinarudi kisha unaweza kufuta ile whatsapp yakawaida.
Fanya backup kabla ujaiunistall apo kila kitu kitakaa kwenye mpangilio wake
Unapopunguza wingi wa mb wa video lazima resolution nayo ipungue.kwann mkuu
Mkuu ahsanteikigoma moja unatakiwa kucheki na nyingine kama vile
-towel root apk
-kingoroot apk
-framaroot apk
-iRoot apk
https://dl.xda-developers.com/2/7/8....apk?key=9YL-2FtgAtUiwr_HTKDZ6Q&ts=1486404513
mkuu sikujua kama unatumia Android 6.0 hebu jaribu na hizi kama itasaidiaMkuu ahsante
Hata hivyo zote zimegoma
Hivi kuroot marshallow 6.0 unahitaji rooter ipi???
Nikipata link ingekuwa poa sana