Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Angalia mwanzo wa link tajwa utaikuta
294c1c5f4661ac044df962747e11c5c4.jpg

Nikipakua hapo ikimaliza nikiclick inaniambia can't open file
 
Mkuu sio whatsap 2 au 3 ni zaidi ya hapo hapo nimechanganya whatsap ya kawaida na whatsap plus.tatizo nashindwa kuweka link hapa ningetuma ukazidownload mwenyewe au nipe no yako nikutumie link whatsap.
Pls nitumie na mimi 0627878621[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mkuu sio whatsap 2 au 3 ni zaidi ya hapo hapo nimechanganya whatsap ya kawaida na whatsap plus.tatizo nashindwa kuweka link hapa ningetuma ukazidownload mwenyewe au nipe no yako nikutumie link whatsap.
sawa nilikua na whatsapp+ walivyoiblock na kwangu ikagoma, ngoja nikupm
 
Back
Top Bottom