Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

0fe52f010a782f02db5aa8f1ca1da384.jpg
 
Wakuu habarini, ni matumaini yangu kuwa mko njema.

Mimi ninatatizo kwenye simu yangu ya HTC Desire 820 dual SIM

Kuna kipindi ikifika ina-restart na kuwaka yenyewe bila kuikomand kufanya hivyo

Pili nikitaka ku-install system update, wakati inaanza ku-install inafika mahali panatokea pembe tatu nyekundu yenye alama (!) Alama ya mshangao kwa ndani yake na hapo ndio mwisho haiendelei tena.

Tatizo laweza kuwa ni nini wakuu?

Nawasilisha......
 
Hiyo simu ulishawahi I root?
Pili ifanyie hard reset ianze upya.
 
Fanya backup kwanza ndio ufanye hivyo maana hardreset itaanzisha upya hiyo simu.
Sawa mkuu, naomba nikusumbue tena, kwenye hii process ya ku-backup lazima niwe nimewasha data? Lazima niwe kwenye internet?

Shukrani
 
WiFi Map

Note: do at ur own risk..[/QUOTE]

Mimi nimedownload,naomba namna ya ku connect endapo nikiitaji.
Screenshot_2017-03-08-20-53-03.png
 
Wakuu msaada wenu tangu asubuhi sipati notification/text haziingi wala kutoka lakini naperuzi sehemu/app zingine bila tatzo, je shida inaweza kuwa nini?
 
Sawa mkuu, naomba nikusumbue tena, kwenye hii process ya ku-backup lazima niwe nimewasha data? Lazima niwe kwenye internet?

Shukrani
Ku backup hakuhutaji internet.
Yaani ni kitendo cha kukusanya data zako kwenye siku n kuzihifanzi kwenye sd card endapo utazihitaji basi utazirudisha tunaita ku Restore
 
Back
Top Bottom