Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Android Manager...hii app unakonect na laptop mfano ukipoteza unaweza kuingia katika hiyo apps katika ukafuta data zako zote au kuiruhusu sim yako ipige alam muda wote na kukuonyesha location ilipo

The truth spy ....app hii inakusaidia kujua text za rafiki yako au girl wako unai download na kuinstall ktk sim ya mtu unaetaka kujua text zake nikafaili kadogo sana ni mb 1 nazan na hata ukistall kwa victim ye hawezi kukaona

Team Viewer.....app hii inakufanya kushare vitu ving kutoka katika computer na sim unaweza kufungua file za computer kupitia sim yako na ukaangalia katika simu yako file za computer

Sync hii app pia inakusadia kuche file za kwenye computer katika sim yako

Vault hii app unaweza ficha picha zako video,apps zako ,contacts na text na mtu asizione

Translate....hii ni app inakusaidia kubadili lugha mfano unakiswahili unataka kukipeleka katika kiingereza au kiingereza kwenda kichina,kijapan,kifaransa ni wewe tuuuu

Enjoy this few apps.....Out Do ze Does.... tchaooooo
 
nice nimepata kitu hapo
 
kwa wale watabe wa ngoma za billboard charts na U.K TOP 40 BILA kusahau EDM hits kupitia YOUTUBE wadownload apps moja inaitwa SNAPTUBE yani ni noma ..kiboko ya apps kwa youtube ..unacheki video bila mikwaruzo via HD view....haipo play store kwa hiyo ingia googgle utaikuta ..download halafu install ujioneee....bila kusahau mobodro kwa wale wanaopenda billboard chart fungua mobodro apps halafu tafuta channel ya BOX HITS kama inavyoonekana hapo chini halafu utaenjoy BILLBOARD HITS ZA KUTOSHA...



hutajuta kwa maamuzi hayo...cheki mpangilio huo wa apps za maana kwenye simu za wanaoifutilia dunia kwa ukaribu...
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Me msaada wangu ni jinc ya ku download muv thru Show Box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…