Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wakuu nombeni msaada kidogo, simu yangu imezima tokae jana na ilitokea nkiwa naitumia huku naichaji ghafla tu display yote ikawa ya blue ndo kuanzia hapo imezingua ukijaribu kuwasha inakua ivo ya blue then inazima.
aina ya simu ni LG G3.
Naomba msaada wa jinsi ya kuifufua kwa anaejua tafadhali.
 
Itapotea yenyewe baada ya muda kama siku 2 hivi usifanye kitu chochote hata mini nina lg nexus 5 nilikua nachaji usiku na charger siyo yake asubuhi nikakuta ipo hivyo inasababishwa na battery overheating
 
chanel gani inayo onyesha ngono.kaka

Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.
 
Mbona hamna option ya kusearch neno kama ulivyo display? Au unatania ? Be serious basi.
Option ipo fungua aya yoyote utaoma kwa juu kuna alama ya search. Nitaiweka kwenye menu next update ili ionekane kirahisi. Pia long press aya yoyote kwa options zingine zaidi
 
Option ipo fungua aya yoyote utaoma kwa juu kuna alama ya search. Nitaiweka kwenye menu next update ili ionekane kirahisi. Pia long press aya yoyote kwa options zingine zaidi
Mkuu sana nimeona asante mnoo sasa rekebisha kwanza.

Nita share watu waipate hii bible app fr now nibora kuliko zingine. Ushauri kama unaweza kuadd pia kiingereza labda..
 
Mkuu sana nimeona asante mnoo sasa rekebisha kwanza.

Nita share watu waipate hii bible app fr now nibora kuliko zingine. Ushauri kama unaweza kuadd pia kiingereza labda..
Shukran! Nitashukuru ukishare! Namalizia changes nita update soon. Kama unataka ya kiiengereza ipo, ila kuweka zote pamoja kwenye app moja, app inakua kubwa kama 10mb hivi. Hiyo ya kiiengereza pakua hapa Bible King James Version - Android Apps on Google Play
 
Reactions: dtj
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…