Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu ww ni hatar sana aise nimepractise hiyo kitu na nimefanikiwa sasa nina maswali mawili kwako

1.uki install hii apps kwe cm muonekano wa maandishi unabadilika je hakuna namna naweza install hii apps bila kuathir mwonekano wa awali wa simu?

2.baada ya kuinstal hii apps sion icon yake mkuu hilo lipoje?
 
Wakuu naombeni msaada aisee..nina HTC desire.inaRun android 6..tatizo ni kwamba huwa inatabia ya kujiformat..yan ikiikaa baadavya siku tatu hixi inabidi zile "settings" uziseti upya..sometymes huwa apps zinapotea permanently na kwa zibazobakia mpaka inabidi ni "log in" upya kwny hzo apps mf:Insta,Jf na hata whatsapp inabidi nisajiri upya.. Inakera sana wakuu..naombeni mnisaidie..
Asanteni.
 
Kuna virus humo mkuutafuta ant virus inaitwa cm securty itamtoa huyo mdudu.hata mimi samsung yangu ilikuwa na tatizo hilo yaani najikuta aoplication zimrfutika mara log in zote zimejitoaa
 
Mkuu mie ninazo hizo link za gb whatsap,fmwhatsap na whatsap plus tatizo sijui kuweka link humu


Si umetumia browser kuzidownload, sasa ukiwa kwenye ukurasa unaokuruhusu kuzidownload hizo apps juu kwenye box la kuandikia website kunakuwa na hyo link, chakufanya ni kubonyeza kwa muda mrefu hyo link ili upate option ya either ku cut, copy or select text, wewe copy then rudi humu reply text inayotaka huo msaada wa link, kwenye kibox cha kuandikia hyo reply yako bonyeza muda mrefu ili upate ruhusa ya ku paste, ukisha paste utaona link moja kwa moja, then reply hakika utakuwa tayari umetuma hyo link
 
Wakuu salam

Kuna simu naona haikubal kusoma usb nikiconnect kwenye pc ..msaada plz
 
Haikuletei option zozote? Au inasoma kama ya kuingiza chaji tu?
Kama ina ingiza chaji tu,badilisha usb
Kama kuingiza chaj tu na nikichange simu nyingne inakubal ...
 
Naomba kujua what's app jb na what's app plus ndio nn zinafaida Gan kisha na mm nidawnload
 
Habari wana jf
Naomba mnisaidie
Nna memory 32 GB
Nimeinstall apk to SD
Tatzo ni ingia playstore updates zinagoma na kudai low space
Hiyo sdcard yako ina free space ngapi mkuu ??

Obviously memory card huwa zinatabia ya kuchoka yaani space inakuwa ipo yakutosha lakini inakwambia space is full

Mkuu jaribu kuitoa hiyo memory card kisha jaribu kuinstal kwenye compyuta yoyote yenye virus scan kisha leta mrejesho
 
Naomba kujua what's app jb na what's app plus ndio nn zinafaida Gan kisha na mm nidawnload
gb whatsapp au whatsapp plus inakupa uwezo wa kubadili mioneko tofauti tofauti na pia kuna themes mbalimbali unazoweza kuweka
pia unaweza kuinstall whatsapp zaidi ya moja ktk simu moja kwa namba tofauti tofauti hata 3 au mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…