engelbertnobert
Senior Member
- Aug 13, 2015
- 131
- 42
OkPitia comment za hupo juu juu kidogo za siku hizi za Karibuni hili limeshajibiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkPitia comment za hupo juu juu kidogo za siku hizi za Karibuni hili limeshajibiwa
Mkuu ww ni hatar sana aise nimepractise hiyo kitu na nimefanikiwa sasa nina maswali mawili kwakopitia hapa mimi binafsi imenisaidia
Junior Hamis, post: 19648984, member: 167548"]ngoja ninaribu kuelekeza japo kwa kifup.... hapa ki2 cha kwanza inabidi kutumia simu ya mhusika yaani (victim phone) ukishakuwa nayo ingia kwenye browser serch www.mobile-tracker-free.combaada ya hapo install hyo app... ingia setting, security then select unknown source ili kuruhusu installation of apk..... then
... ukishamlza ku download![]()
![]()
then create account by using email
baada ya ku create account italeta hapa
select unavyohtaji kama ni sms, photos, recorded call audio, location nakadhalika kwa wale ambao wana rooted devices unaweza select social networks pia kama Facebook na whatsapp and others
then log in
weka tick kwenye to accept agreement the log in italeta hivi
select then
select social networks for rooted phone the
after pls wait itakubali hiv
theb baada ya hapo umemalza utakuwa una log in kwenye website www.mobile-tracker-free.com kwa kutumia device yoyote utakuta kila ki2 kama hivi
then
kama ni audio za call
na vingine..... nawasilisha[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] nb:do this at your own risk.... sihusiki na ndoa ya mtu...![]()
Mkuu mbona hii link siyo
Kuna virus humo mkuutafuta ant virus inaitwa cm securty itamtoa huyo mdudu.hata mimi samsung yangu ilikuwa na tatizo hilo yaani najikuta aoplication zimrfutika mara log in zote zimejitoaaWakuu naombeni msaada aisee..nina HTC desire.inaRun android 6..tatizo ni kwamba huwa inatabia ya kujiformat..yan ikiikaa baadavya siku tatu hixi inabidi zile "settings" uziseti upya..sometymes huwa apps zinapotea permanently na kwa zibazobakia mpaka inabidi ni "log in" upya kwny hzo apps mf:Insta,Jf na hata whatsapp inabidi nisajiri upya.. Inakera sana wakuu..naombeni mnisaidie..
Asanteni.
Mkuu mie ninazo hizo link za gb whatsap,fmwhatsap na whatsap plus tatizo sijui kuweka link humuMkuu mbona hii link siyo
Mkuu mie ninazo hizo link za gb whatsap,fmwhatsap na whatsap plus tatizo sijui kuweka link humu
haifunguki au inaleta warning?Mkuu mbona hii link siyo
Haikuletei option zozote? Au inasoma kama ya kuingiza chaji tu?Wakuu salam
Kuna simu naona haikubal kusoma usb nikiconnect kwenye pc ..msaada plz
Kama kuingiza chaj tu na nikichange simu nyingne inakubal ...Haikuletei option zozote? Au inasoma kama ya kuingiza chaji tu?
Kama ina ingiza chaji tu,badilisha usb
Port ya simu yako na USB haziko Sawa,as i said change USB.Kama kuingiza chaj tu na nikichange simu nyingne inakubal ...
Nshabadilishaa kama 3 no positv resultsPort ya simu yako na USB haziko Sawa,as i said change USB.
Soma programmingNaweza je ku crack an application? ? Msaada
Twipo mkuuNakuonaa
Hiyo sdcard yako ina free space ngapi mkuu ??Habari wana jf
Naomba mnisaidie
Nna memory 32 GB
Nimeinstall apk to SD
Tatzo ni ingia playstore updates zinagoma na kudai low space
gb whatsapp au whatsapp plus inakupa uwezo wa kubadili mioneko tofauti tofauti na pia kuna themes mbalimbali unazoweza kuwekaNaomba kujua what's app jb na what's app plus ndio nn zinafaida Gan kisha na mm nidawnload