Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Ok thx ntakupa mrejesho
 
gb whatsapp au whatsapp plus inakupa uwezo wa kubadili mioneko tofauti tofauti na pia kuna themes mbalimbali unazoweza kuweka
pia unaweza kuinstall whatsapp zaidi ya moja ktk simu moja kwa namba tofauti tofauti hata 3 au mbili



Umesahau kumwambia kuwa akiwa na whatsapp tatu, inakula MB mara tatu ya km angekuwa na whatsapp 1,pia kama si mtu wa kuzima data basi chaji nayo italiwa mara tatu, memory ya simu itajaa mara tatu, ram itatumika mara tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…