Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Hiyo sdcard yako ina free space ngapi mkuu ??

Obviously memory card huwa zinatabia ya kuchoka yaani space inakuwa ipo yakutosha lakini inakwambia space is full

Mkuu jaribu kuitoa hiyo memory card kisha jaribu kuinstal kwenye compyuta yoyote yenye virus scan kisha leta mrejesho
Ok thx ntakupa mrejesho
 
gb whatsapp au whatsapp plus inakupa uwezo wa kubadili mioneko tofauti tofauti na pia kuna themes mbalimbali unazoweza kuweka
pia unaweza kuinstall whatsapp zaidi ya moja ktk simu moja kwa namba tofauti tofauti hata 3 au mbili



Umesahau kumwambia kuwa akiwa na whatsapp tatu, inakula MB mara tatu ya km angekuwa na whatsapp 1,pia kama si mtu wa kuzima data basi chaji nayo italiwa mara tatu, memory ya simu itajaa mara tatu, ram itatumika mara tatu
 
Download app ya king root Google search
Screenshot_20170529-215019.png
nimekwama hapa chief msaada tafadhal
 
Back
Top Bottom