Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Jaman msaada nataka kuroot simu langu,

Nimetembelea uzi wa kuroot, ila sasa nataka kudowload kingroot zinakuja nyingi sijui ipi ni ipi?

Anayejua aniweeke na kapicha ili niijue hiyo kingroot.
 
Oyaa mzee baba kupata namba ya USA me inazngua
Niambie we unapoanza kujiunga na virtualsim unafanyaje maana ukijiunga kupitia namba yako tu na Email huwezi kupata namba ukitaka kupata namba za u.s.a lazima unapojiunga na hiyo virtualsim uiunganishe na account yako ya Facebook utaona chini kabisa Kuna maandishi ya blue ndo ukibofya hapo ukienda setting ya virtualsim utaona sehemu imeandikwa my phone number utaikuta hapo tena utakuta namba mbili moja yakwako moja nyingine ya USA ndo uachukua iyo mkuu
 
Jaman msaada nataka kuroot simu langu,

Nimetembelea uzi wa kuroot, ila sasa nataka kudowload kingroot zinakuja nyingi sijui ipi ni ipi?

Anayejua aniweeke na kapicha ili niijue hiyo kingroot.
kumbuka kingroot haipo playstore
wewe nenda google search latest kingroot apk utaipata
 
Kuna apps nyingine inaitwa videorder matata sana
Naomba link ya kuodlowoad hii kitu mkuu.. nilikuwaga nayo kwenye simu ya zamani lkn simu yangu hii ya sasa haina....

Mara ya kwanza nilitumiaga link .zile ambazo zipo play store sio kabisa.

Halafu pia naombenj mbinu ya kutumia endapo nitabadilisha simu niweze kuletewa application zangu zote za awali kama kuna mwenye kufahamu,,,!

Cc senator jr
 
Download parallel space ipo Play store hii itakuwezesha kuwa na whatsap mbili, gmail mbili,facebook, na apps zote ambazo unataka uwe nazo mbili hii inatengeneza clone apps
 
Mkuu mbona mm hio avast najaribu kijiregister iNagoma,? Au ukishaipakua tu ndo mchezo unakuwa umeisha,?

Halafu inalitetea habari za kulipia kila mwisho wa mwezi au kwa mwaka,,,! Hebu tupe utaratibu mkuu,,,!

Cc erickjr
 
Umedownload Avast Nini? Mobile Security Au Anti Theft??
 
Hizo hapo picha mkuu ndio hio au nipo wrong,??
Ndio Yenywe Kuna Free Na Ya Kulipia Alafu Kuna kuna Antitheft Na Hiyo Uliodownload Anti Theft Na Hiyo Ni App Mbil Tofaut. Na Sijajua Ww Unaihitaji IPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…